Kampuni Inayonunua Mkojo Dar Kuchunguzwa
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema haiitambui wala haijawahi kuipatia usajili kampuni ya Polai (Tz). Co Ltd kukusanya mikojo ya wajawazito, kwa maelezo kwamba wanaitumia kutengeneza tiba ya magonjwa ya binadamu.
…
