Boniface Mgombea Aliyefanyiwa Umafia, Kupambana na Mkumbo
BONIFACE Jacob a.k.a Bonny, ni mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Ni kijana ambaye alizaliwa Ubungo Kisiwani, na ni msomi wa chuo kikuu (UDSM) ana shahada moja ya ualimu na amekuwa…
