Molinga Atamba Kuwamaliza Yanga
MSHAMBULIAJI mpya wa Namungo, David Molinga ‘Falcao’ ametamba kuwa amejipanga kufanya vizuri katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara hususani atakapokutana na waajiri wake wa zamani klabu ya Yanga.
Molinga alikamilisha usajili…
