×

Tag: Mr Blue

Mr blue – KO (Official Video)

Msanii wa muziki Bongo Fleva, Mr Blue ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ko.

READ MORE

Mr Blue na Mkewe Wapata Mtoto

MIONGONI mwa stori zilizotengeneza headlines kwenye social media ni kuhusu msanii Khery Sameer Rajab maarufu kama Mr Blue ambaye kupitia...

READ MORE

Mr blue afungukia kuoa mke wa pili

MSANII wa Bongo Fleva, Kheri Sameer Rajab ’Mr Blue’ amesema katika vitu ambavyo hajawahi kujutia ni pamoja na yeye kuoa...

READ MORE

HII KALI! Aliyefukuzwa Shule Kisa MR BLUE Amlilia ZITTO Kabwe – Video

Kila nyuma ya historia ya mtu maarufu au mashuhuri kuna stori kitu ambacho amekipitia, kwa upande wa Mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

MR. BLUE: KUNA WAKATI SIAMINI KAMA WATOTO NI WANGU

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, kila siku iitwayo leo lengo langu kubwa ni kukupatia kitu ambacho kitau-konga moyo wako.  Safu hii...

READ MORE

Mr Blue Aungana Na Nandy Kwenye ‘Blue’ Video Mpya

  Muunganiko wa Mr Blue na Nandy umetupatia jina la video ya wimbo unaoitwa ‘Blue’.   Video imetengenezwa nchini Afrika...

READ MORE

Video Mpya ‘Hatufanani’ Toka Kwa Shetta, Jux & Mr Blue

Unapokuja kwenye swala la kutaka kujifananisha na baadhi ya watu, Shetta, Jux na Mr Blue wanakataa kuhusiana na hilo na...

READ MORE

BEAUTY & STYLES: MR Blue Kaja na Mavazi Yake “Sishindani na DIAMOND” -Video

Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue,  ameamua kugeukia shughuli za ujasiriamali kwa kuanzisha mavazi yake yenye logo yake ya ‘Micharazo’....

READ MORE

MR BLUE ATAJA NCHI ALIOKIMBILIA

BAADA ya kutoonekana kwa muda hususan kwenye shoo ndani ya Bongo, rapa mkongwe kutoka kiwanda cha Muziki wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Dar Live Idd Mosi: Mr Blue Akifanya Yake Usiku wa Kihistoria

Usiku wa kihistoria msanii wa Bongo Fleva, Mr. Blue ‘Byser’ akifanya yake Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa...

READ MORE

Stamina, Darassa Kulipeleka Jiji Dar Live Sikukuu ya Idd Mosi

SIKU zikiwa zinahesabika kufi kia Sikukuu ya Idd Mosi, wakali kibao wa michano wakiongozwa na R.O.M.A Mkatoliki, Stamina, Darassa, Moni...

READ MORE

Hapa Mr Blue Kule Zanzibar Stars, Dar Live

Na Mwandishi wetu| RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu HII ikufikie kwa wewe mpenda burudani kuwa Sikukuu ya Idd kutakuwa hakutoshi...

READ MORE

Mr Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana

BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Prince wameamua kuwa kitu kimoja....

READ MORE

Blue: Mboga 7 Imenipa Heshima Kwenye Hip hop

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Herry Sameer ‘Mr Blue’ anayetesa kwa sasa na wimbo wake wa Mboga Saba...

READ MORE