Mwanyika Ashinda Ubunge Njombe Mjini – Video
MSIMAMIZI wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Philip Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo baada ya kupata kura halali 29,553.
Akitangaza matokeo hayo, msimamizi huyo…
