NAKAAYA SUMARI ATOBOA SIRI YA KUPIGA CHINI MUZIKI
WIMBO wa Mr Politician ulimtambulisha vyema mwanamuziki Nakaaya Sumari ‘Nakaaya’ kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva.
Nakaaya ambaye ni dada wa aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2005, Nancy Sumari aliutoa wimbo huu kipindi kifupi tu…
