Ngoma Nagwa Amzungumzia Tin White, Mkojani “Nataka Kuwa Mondi”
KUPITIA Kipindi cha KATAMBUGA Cha 255 Global Radio, Muigizaji Nagwa ameeleza sababu za kuingia kwenye tasnia ya muziki. Pamoja na hayo Nagwa amefunguka mambo mengine mengi ikiwemo sababu ya kujichora tattoo nyingi.
