Huku Vanessa Mdee, Jux Wakidaiwa Kumwagana, Mbunge wa CCM Afungukia Uhusiano Wake na Vanessa Mdee
DAR ES SALAAM: Baada ya uvumi wa muda mrefu unaomhusisha Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu na msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Vanessa Mdee, hatimaye jipu limepasuka pwaa, kufuatia…
