Nay Wa Mitego awashukia Barakah The Prince, Young Killer
STAA wa Ngoma ya Moto, Nay Wa Mitego a.k.a True Boy, amedai kinachowatesa wasanii wenzake Young Killer na Barakah The Prince ni kwa kutokumbuka fadhila za watu waliofanikisha safari yao hadi kufikia walipo sasa.
“Young Killer…
