Waziri wa Maliasili Atengua Uamuzi wa Kigwangala ‘Ulikuwa Kinyume na Sheria’
WIZARA ya Maliasili na Utalii imefunga rasmi mzozo uliodumu kwa miaka miwili juu ya eneo la uwindaji kando ya ziwa Natron ambalo lilihusisha Wizara, wilaya ya Longido na kampuni za uwindaji zinazofanya kazi katika eneo hilo, ambao…
