Mpigania Uhuru Aliyekuwa na Nelson Mandela Sauzi, Ahmed Kathrada Afariki Dunia
Kiongozi mwanaharakati aliyeshiriki katika kupigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Ahmed Kathrada amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87.
Kathrada alifariki dunia akiwa katika hospitali moja mjini…
