SMART CODES YABORESHA MWONEKANO WA NEMBO YAKE
KAMA moja ya maendeleo, Kampuni ya Smart Codes inayohusika na utoaji wa huduma za kiteknolojia na matangazo jijini Dar es Salaam, imeboresha mwonekano wake ikiwa ni pamoja na bidhaa na huduma zinazotolewa ili…
