VIDEO: Global TV Kenya Yamuibua Juacali
Paul Julius Nunda, maarufu kwa jina la Juacali, Msanii wa muziki wa Genge kutoka nchini Kenya ameongea na Global TV Kenya kuhusu gemu ya muziki. Amefunguka namna ambavyo mwaka jana ulikuwa mzuri kwake kwani aligonga shoo za…
