Sheria Ngowi Aiomba Serikali Ipunguze Uingizwaji wa Mavazi ya Nje
MBUNIFU maarufu wa mavazi na mitindo wa kitaifa na kimataifa, Sheria Ngowi, ameiomba serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kupunguza…
