`Sangoma’ anaswa na maini ya swala, ngozi ya simba
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari
MGANGA wa jadi na mkazi wa Sumbawanga mjini, mkoani Rukwa, Vitus Chomba (42), anashikiliwa na Polisi, wilayani Mlele, mkoani Katavi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za Serikali bila…
