Nabii Suguye Afungukia Kanisa Kutumia Ushirikina Kuvuta Waumini
KATIKA mfululizo wa makala zetu za Live na Uwazi, wiki hii tunaye Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la The World of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga wilayani Ilala jijini Dar, Nabii Nicolaus Suguye. Pamoja na mambo…
