Weusi Kuja na ‘Ya Kulevya’…
KUNDI la wanamuziki wa Bongo Fleva lenye asili ya kaskazini mwa Tanzania, Arusha, limeachia hewani wimbo mpya unaotambulika kwa jina la ‘Madaraka ya Kulevya’.
Aidha Kundi hilo linaloundwa na wasanii kama Joh Makini, Nikki wa Pili na…
