Mabinti wa Hip Hop Wasibaniwe, Watoboe!
KWA sasa huwezi kutaja maendeleo ya muziki wa kuchana kwa kinadada bila kumtaja mwanadada Onika Maraj ‘Nicki Minaj’.
Nicki ambaye unaweza kusema ndiye ‘top’ wa Muziki wa Hip Hop kwa sasa ulimwenguni amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana…
