Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike-18
ILIPOISHIA
Wakati nikiwa kwenye usingizi mzito, ghafla nikaanza kuota ndoto moja hivi, ndoto iliyousisimua mwili wangu, sikuamini kile nilichokuwa nikikiona kwenye ndoto ile kingekuja kutokea siku moja katika maisha yangu, nilibaki…
