Niliolewa na Mganga kwa Tamaa ya Cheo
ILIPOISHIA:
“Kwani unaniona nafanya nini?” Rose alimjibu kwa mkato huku akimtengeneza mtoto aliyekuwa mgongoni.
SASA ENDELEA...
“Na...na...na huyu si...si...si shoga yako nani kweli?”
“Eflazia,” nilimjibu nikiwa nambembeleza…
