Niyonzima asimamishwa Yanga, akatwa mshahara
Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima.
KIUNGO wa Yanga SC, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima atapokea nusu mshahara kwa muda usiojulikana, baada ya kusimamishwa na uongozi wa klabu hiyo kwa utovu wa nidhamu.
Katibu Mkuu wa Yanga SC, Dk.…
