Kiungo mpya Yanga akomba Mil 158
IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 50Mil kwa ajili ya kununua mkataba wa kiungo mshambuliaji wa Biashara United, Denis Nkane huku ikimpa mshahara wa Sh mil 3 kwa mwezi.
Nkane ni kati ya wachezaji waliokuwa wanawaniwa…
