North, Saint West siyo wa Kanye West, DNA kuthibitisha!
Kanye West akiwa na mkewe Kim Kardashian.
HALI ni tete kwa wanafamilia, mwanamitindo na mtangazaji, Kim Kardashian na rapa Kanye West baada ya tetesi kuendelea kusambaa kuwa watoto waliowazaa pamoja, North na Saint siyo wa Kanye.…
