TANZIA: Waziri wa Kikwete Afariki Dunia
ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Uchukuzi katika Serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Simu Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omari Rashid Nundu (71) amefariki dunia wakati akiwa njiani…
