MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA KWA KISHINDO DAR
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa amesema ni makosa kisheria kwa mtu yeyote kutoa takwimu zisizo rasmi na badala yake, Ofisi ya Taifa ya Takwimu ndiyo yenye mamlaka kisheria ya kutoa…
