Man U Yaanza kwa Kugawa Dozi, Pogba, Luke Show ni Fire – Picha
KLABU ya soka ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester City kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi kuu ya soka nchini England katika msimu wa 2018/19 iliyomalizika usiku huu wa Agosti 10,…
