Mtoto Miaka 3 Auzwa Akatolewe Kafara!
Stori: Waandishi Wetu, Gazeti la Risasi Jumamosi
Dar es Salaam: Ni madai ya kushangaza! Kwamba, baadhi ya wanawake ombaomba waliopiga kambi maeneo ya Fire, Msimbazi na Baridi-Mnazi Mmoja jijini hapa, wameanza kuingiwa na tamaa ya fedha…
