Kituo cha Biashara na Hoteli Angani Kuzinduliwa
UNAAMBIWA Kampuni maarufu duniani ya Utalii wa angani ya Blue Origin ambayo inamilikiwa na bilionea wa dunia ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos, imetangaza mpango wake wa kuzindua kituo cha biashara cha angani kitwacho…
