Wimbo wa Bella umevuja!
Global Publishers imeunasa wimbo uliovuja wa Christian Bella anaodaiwa kumtungia Ostaz Juma ambao katika hali ya kushangaza haujaachiwa rasmi hewani lakini umeenea mitandaoni, hasa kwenye magroup mbalimbali ya WhatsApp.
Imebainika pia kuwa…
