Namna ya Kukabiliana na Tatizo la Kutopevusha Mayai!
AFYA DK. CHALE
MWANAMKE kutopevusha mayai kitaalamu huitwa Ovulatory Dysfunction . Ni hali ambayo si ya kawaida inayoweza kumtokea mwanamke yeyote aliye katika umri wa kuzaa. Mwanamke mwenye tatizo hili anaweza kupata upevushaji…
