MCHUNGAJI ALIYETABIRI MABADILIKO SERIKALI YA JPM 2019 – VIDEO
UNABII UMETIMIA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ikiwa ni siku 8 tu tangu Mtumishi wa Mungu, Pastor Malachi Joseph kutabiri kuwa Rais Dkt. John Magufuli atafanya mabadiliko katika taasisi na baashi ya wizara Serikalini ya Tanzania kwa mwaka…
