Serikali Yatoa Maagizo Kwa Wamiliki Viwanda Vya Chuma Nchini
Serikali imewaagiza wamiliki wa viwanda vya chuma nchini kukaa kikao cha pamoja kwa ajili ya kujadili na kukubaliana kuhusu teknolojia sahihi ya kuchambua vyuma chakavu ambayo itakuwa na uwezo wa kutambua vitu vyenye milipuko wakati wa…
