MSHINDI wa droo ya mwisho na kubwa ya Bet Bonanza ya Sportpesa, George Jafari Kimaro, leo asubuhi amefika katika ofisi...
READ MOREMWANAMAMA Nancy Chonge Chepkwemoi nchini Kenya ameshtakiwa kwa tuhuma za kuiba pesa alizotumiwa kimakosa kupitia simu kutoka kwa Vincent Maina...
READ MORETANZANIA imeingiza makampuni/mashirika sita kwenye orodha ya makampuni 25 Afrika Mashariki na orodha ya makampuni 250 Afrika nzima yenye mtaji...
READ MOREKWA kipindi kirefu cha mwaka uliopita 2020, wachezaji walio katika nafasi nzuri walitengwa, wakifanya kazi kwa mshahara wa kiwango cha...
READ MOREMbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemlipua mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel na timu akidai wamepata zaidi...
READ MOREMama anayefahamika kwa jina la Noelia mkazi wa Nsemulwa shuleni, wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, amekula pesa za michango ya...
READ MOREBABY mama wa msanii Barakah The Prince ambaye ni Video Vixen, Careen Simba, amesema ni jukumu la mwanamme kumpa...
READ MOREMADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wamemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Hemed Magalu kumsaka Mtendaji wa...
READ MORESENETA Norma Durango wa Argentina amewasilisha muswada katika Bunge la nchi hiyo akipendekeza picha ya lejendari wa soka duniani, Diego...
READ MOREBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa fedha kiasi cha Sh 114.7 Milioni kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya Kilimo...
READ MOREBENKI Kuu imetoa dokezo la kisera (fedha) kudhibiti zaidi upatikanaji wa fedha za kigeni. Sera hii inapunguza upatikanaji wa fedha...
READ MOREBENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema noti zake zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti. Katika...
READ MOREMgambo mmoja aliyekuwa akikusanya fedha za ushuru wa maegesho ya malori Igunga Mjini mkoani Tabora, Peter Areray amekimbia na fedha...
READ MOREMWANAMKE mmoja kutoka nchini India ameamua kuuza nywele zake ili aweze kupata chakula kwa ajili yake na familia yake, jambo...
READ MOREKILA siku, binadamu hutumia hela ili kutafuta hela zaidi. Jinsi gurudumu hili la maisha linapozunguka, sio hakikisho kuwa mambo yatakuwa...
READ MOREFEDHA za kikundi cha kikoba cha kina mama cha Amani mkoani Arusha — Sh. milioni 39 — ambazo zinadaiwa kupotea...
READ MORESherehe za kugawana faida katika kikundi cha ujasiriamali cha Imani, zilizokuwa zifanyike mapema mwishoni mwa wiki zimegeuka kilio kwa wanachama...
READ MOREWAKABET inatoa huduma ya michezo ya betting/kuweka dau ambayo inashughulikia ligi zote kubwa za mipira kuhakikisha upatikanaji wa aina mbalimbali...
READ MORESTANLEY IRUNGU amefikishwa mahakamani jijini Nairibo, nchini Kenya, baada ya kuchukua Sh. 39,000 za Kenya (Shilingi za Tanzania 1,300,000/=) katika...
READ MOREMOROGORO: Gari linalodaiwa kusafirisha pesa kutoka Hazina na kuzisambaza kwenye mabenki mjini Morogoro mwanzoni mwa wiki hii likiwa katika mwendo...
READ MORESerikali ya Kenya imezindua noti mpya za fedha ambazo zina picha za wanyama na vielelezo vingine vinavyoliwakilisha taifa hilo. ...
READ MOREUKISIKIA kuna bwa’mdogo wa miaka 34, tena anaishi Kongowe, Mbagala jijini Dar es Salaam, amefikishwa mahakamani akidaiwa kuipiga serikali ya...
READ MOREWEWE endelea kulialia, oooh usawa mgumu, vyuma vimekaza! Wenye shughuli zao wanapata fedha hadi za kumwaga ukumbini na kuwashughulisha watu...
READ MOREShirika la Numbeo limetoa orodha ya nchi kumi zenye mishahara mikubwa zaidi barani Afrika. Hili ni shirika kubwa zaidi duniani la...
READ MORE