Kampuni ya Uchimbaji Almasi Yasitisha Shughuli Zake Tanzania
KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Almasi ya Petra Diamonds imesimamisha shughuli zake za uchimbaji katika mgodi wake uliopo Mwadui Shinyanga, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania.
Hii imekuja siku chache tu baada ya kamati za…
