The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Pogba

Xavi Amtaka Pogba Barcelona

KOCHA wa Barcelona Xavi amefunga mlango wa kutaka kumnunua nyota wa Manchester United Paul Pogba kwa sababu Mfaransa huyo hafanani na wasifu wa klabu hiyo. Mkataba wa Pogba unamalizika mwishoni mwa msimu huu na amekuwa akihusishwa na…

Man United Yapata Pigo

KIUNGO wa kati wa Manchester United Paul Pogba hatoshiriki katika mechi ya michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia baada ya kupata jeraha la nyonga. Mshindi huyo wa Kombe la Dunia, mwenye umri wa miaka 28 alipata jeraha…

PSG Bado Wanamuwinda Pogba

PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake. Kwa mujibu wa Sky Sports imeeleza kuwa iliripoti Julai kwamba timu hiyo ya Ufaransa inahitaji kumpata nyota…

Paul Pogba na PSG Mambo Yamenoga

WAKALA wa staa wa Manchester United, Paul Pogba, Mino Raiola yupo kwenye majadiliano na Paris Saint-Germain kwa ajili ya usajili wa mteja wake huyo huko wakimtaka kwa pauni 43m. Pogba amesaliwa na mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Man…

Pogba Aijisogeza PSG

MAZUNGUMZO kati ya PSG na wawakilishi wa Paul Pogba yanaendelea na makubaliano yapo katika hatua nzuri. Pogba kwa sasa kipaumbele chake ni kujiunga na Paris Saint-Germain. Klabu hiyo bado inatafuta kuimarisha nafasi ya…

Pogba Asema Hana Furaha Man U

KIUNGO wa kati wa Manchester United na Ufaransa, Paul Pogba, anasema kwa sasa anapitia kipindi kigumu sana cha kazi yake ya soka kutokana na muda wake wa mchezo katika Old Trafford. Akifanyiwa mahojiano na kituo cha RTL. amesema…

Deschamps Asema Pogba Hana Furaha Man United

KOCHA wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps, amesema kiungo wa Manchester United, Paul Pogba, hana furaha na nafasi anayochezeshwa kwenye timu hiyo na kumfanya ashindwe kuwika msimu huu. Deschamps…

Imethibitishwa! Pogba Kusepa Man U

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba imethibitika rasmi kuwa anaondoka Manchester United. Wakala wake Mino Raiola juzi aliibuka na kusema wazi kuwa anashughulikia suala la Pogba kuihama Manchester United na kuchezea timu nyingine msimu…

Zidane Ataka Dili la Pogba Fasta

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameupa uongozi wa Real Madrid mtihani mzito baada ya kuwataka kuhakikisha wanamsajili Paul Pogba. Uongozi wa Real Madrid unagwaya bado kuonana na Manchester United kutokana na ukweli kuwa…

Jumba la Pogba Kufuru

CHAMPIONI  | Manchester, England SUPASTAA wa Manchester United, Paul Pogba amenunua nyumba ya kifahari kwa kitita cha pauni milioni 2.9, zaidi ya shilingi bilioni tano. Hii inatajwa kuwa kati ya nyumba za gharama zaidi inayokaliwa na…