Mwalimu Mbaroni kwa Kumkashifu Rais Magufuli
JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Nyakisasa iliyopo Tarafa ya Rulenge wilayani Ngara, Deogratias Simon (34) kwa tuhuma za kumkashfu Rais wa Tanzania Dkt. John…
