KISA MTOTO… MOBETO KUMBURUZA MZAZI MWENZIYE MAHAKAMANI!
Mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, amemshitaki mzazi mwenziye ambaye ni Mbongo Fleva katika Mahakama ya Watoto, Kisutu jijini Dar, akidai kuombwa radhi na matunzo ya mtoto.
Wito huo kwa Mbongo Fleva, umewasilishwa na mawakili wa…
