Tamasha Kubwa la Speakers Conference Kutimua Vumbi Jumamosi Hii
Tamasha kubwa la Speakers Conference, linatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi, Novemba 28, 2020 katika Ukumbi wa City Mall, Mnazi Mmoja mkabala na Chuo cha DIT jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha wazungumzaji mahiri kutoka ndani na nje…
