DPP: Wanaoidai Qnet, Hakuna Kurejeshewa Fedha
MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, amesema ni kosa kuwarejeshea fedha watu waliojiunga na kampuni ya Qnet kisha kudai wametapeliwa.
“Ni kosa kisheria kuwarejeshea fedha watu waliojiunga na Kampuni ya Qnet…
