Ruto Atangaza Mkuu wa Polisi na Jinai Wang’atuka Akitangaza Baraza la Mawaziri
Rais wa Kenya Dkt. William Ruto Septemba 27, 2022 amewateua mawaziri 21 kwenye baraza lake la mawaziri ambao wataongoza utawala wake katika miaka mitano ijayo ya uongozi wake.
Ruto amemteua aliyekuwa makamu wa rais Musalia…
