The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Ray

Ray Alia na Waziri Mwakyembe

  STAA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amelia na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini, Dk Harrison Mwakyembe katika kusimamia Sera ya Filamu. Akizungumza na Gazeti la IJUMAA WIKIENDA, Ray amemlilia…

Ray: Chuchu Ana Wivu Sana

STAA kunako Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa mzazi mwenziye Chuchu Hans ni mwanamke mwenye wivu sana. Akizungumza na Mikito Nusunusu, Ray alisema Chuchu ni mwanamke ambaye ana wivu wa kupitiliza. …

RAY kwa Mwanaye Humwambii kitu!

LEGENDARI wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa tangu amekuwa baba, ratiba yake ya kurudi nyumbani imebadilika tofauti na miaka ya nyuma alipokuwa anarudi muda wowote anaotaka. Akizungumza na Amani hivi karibuni,…

MTOTO WA RAY ALAMBA SHAVU NMB

MTOTO wa Staa wa Filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, aitwaye Jaden Kigosi, amepata shavu kutoka kwa wazazi wake baada ya kumfungulia  akaunti ya 'NMB Mtoto Akaunti' kwa ajili ya akiba itakayoweza kumsaidia hapo baadaye.…

Chuchu: Siwezi Kuzaa Tena na Ray

UKITAJA ‘kapo’ za mastaa ambao wamefanikiwa kuwa kwenye uhusiano na kubarikiwa kupata watoto wakiwa pamoja, huwezi kuacha kuwataja mastaa wakubwa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans. Wawili hawa ni kapo ambayo…

Ray: Okwi Anazifunga Timu Ndogo Tu

MSANII wa Bongo Movie’s, Vincent Kigosi ‘Ray’ amewaambia mashabiki wenzake wa Yanga kuwa, wasihofi e mabao ya Emmanuel Okwi wa Simba, kwani huwa anazifunga timu ndogo tu. Yanga leo Jumamosi inacheza na Simba kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar…

Bodi Ya Filamu ni Jipu

MAKALA NA: BONIFACE NGUMIJE | IJUMAA WIOKIENDA DAR ES SALAAM: Mwaka 2016, Bodi ya Filamu Tanzania iliongezewa majukumu rasmi na Serikali. Tofauti na kipindi cha nyuma ilipokuwa na kazi ya kuzipa madaraja filamu na kukagua…

Ray, Mama Kanumba Kimenuka

Na MWANDISHI WETU/GPL DAR ES SALAAM: Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu bongo, marehemu  Steven Kanumba, Flora Mtegoa siku ya kumbukumbu ya mwanaye makaburini Kinondoni, alimfyatukia msanii wa filamu nchini,  Vincent Kigosi…

Johari, Chuchu Kimenuka Tena!

Na Mwandishi Wetu | RISASI JUMAMOSI  | DAR ES SALAAM Warembo wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wamedaiwa kuwa wametibuana vibaya kufuatia Chuchu kumchokonoa Johari mitandaoni kuhusu jina la Kampuni ya RJ,…

Penzi la Ray, Chuchu… chali

Brighton Masalu DAH! Imebuma! Lile penzi lililoziba masikio ya wengi kati ya waigizaji wakubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans linadaiwa kuanguka chali kufuatia mume wa mwanamke huyo kutua nchini kimyakimya na hivyo kuwa wigo…