Rais Magufuli Akizindua Ujenzi wa Reli ya Kimataifa Dar-Moro
RAIS Dkt John Pombe Magufuli amezindua Rasmi ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya Kimataifa ambayo treni ya kisasa inayotumia umeme itaweza kusafiri kwa mwendokasi wa kilomita 160 kwa saa.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo,…
