Reli ya Standard Gauge Kutoka Dar-Mwanza Kuanza Kujengwa Dec 6, 2016
Hatua ya kwanza ya maandalizi ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge imeshaanza ambapo awamu ya kwanza ya ujenzi huo kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza itaanza rasmi Disemba 6, 2016.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za…
