Roma, Naisubiri Siku Uteme Nyongo!
Na OJUKU ABRAHAM| RISASI MCHANGANYIKO| RISASI VIBES
MUZIKI ni sanaa pana inayohitaji zaidi akili iliyotulia ili kuifanya kuwa bora na isiyokufa. Ni wanamuziki wachache wamewahi kumudu kuifanya kazi yao kuwa ya muda wote kwa nyakati…
