Chelsea Kumbakiza Lukaku Mazima Inter Milan, Waongeza Mkataba wa Mkopo Wake
KLABU ya Chelsea imeripotiwa kufikiria uwezekano wa kumbakiza kwa mkopo wa mwaka mwingine zaidi mchezaji wake Romelu Lukaku hadi mwisho wa msimu wa 2023/2024.
Taarifa hizo zimeibuka ikiwa ni mipango ya klabu hiyo kutaka…
