Mtoto wa Mwalimu Nyerere Afariki Dunia
FAMILIA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imepata msiba wa mtoto wao Rosemary Nyerere aliyefariki jana jioni jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wanafamilia aliyejitambulisha kwa jina la Sophia Nyerere ameandika katika…
