BREAKING: RPC Amzungumzia Kijana Aliyekutwa Mwenge Amefariki! – VIDEO
Siku chache nyuma zilizopita, Global TV ilikurushia tukio la kijana mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake au sura yake kudondoka na kufariki dunia maeneo ya mwenge jijini Dar es Salaam huku chanzo rasmi cha kifo chake kikiwa bado…
