Rais Paul Kagame Atangaza Kugombea Urais kwa Awamu ya Nne 2024 Nchini Rwanda
Rais Paul Kagame wa Rwanda
Rais Paul Kagame, mtawala mkuu wa Rwanda tangu kumalizika kwa mauaji ya kimbari mwaka 1994, amedokeza kuwa atagombea tena urais katika uchaguzi ujao wa 2024.
Alipoulizwa kama atagombea tena urais,…
