Mtoto wa Mfalme Akiri Kuhusika na Mauaji ya Khashoggi
MTOTO wa mfalme wa Saudi Arabia amesema anahusika katika mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi mwaka jana kwa vile jambo hilo lilifanyika akiwa analifahamu.
Mohammed bin Salman ambaye ndiye mtawala wa nchi hiyo ya kifalme,…
