×

Tag: SAMAKI’

Hawa Nd’o Wanyama 10 Wenye Kasi Zaidi Duniani

WANYAMA au viumbe wenye kasi zaidi duniani miongoni mwao huruka angani, wengine huogelea baharini na wengine hukimbia ardhini. Kulingana na...

READ MORE

Watu Sita Wafariki kwa Kula Samaki Aina ya Kasa

JUMLA ya watu sita wamepoteza maisha na wengine 12 wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Micheweni baada ya...

READ MORE

Samaki Mwenye Meno ya Binadamu Azua Taharuki

Samaki asiye kuwa wa kawaida mwenye meno ya binadamu amekamatwa nchini Marekani. Picha ya samaki huyo ilisambazwa katika mtandao wa...

READ MORE

Maajabu Mvuvi Aliyevua Samaki Albino

  MVUVI  nchini Uingereza amesema amepata bahati ya kuvua samaki aina ya papa mwenye albinism (zeruzeru)  akapiga naye picha kisha...

READ MORE

Samaki Amrukia Kutoka Majini, Amtoboa Shigo

KIJANA Muhammad Idul (16) Raia wa Indonesia ameelezea kisa alichokumbana nacho kwa mara ya kwanza wakati alipokuwa anaogelea na ghafla...

READ MORE

Vyakula vinavyoongoza kuongeza akili kwenye ubongo

  UBONGO ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni watu wachache wanaoutilia maanani. Ubongo ndiyo kiungo kinachohusika na...

READ MORE

SAMAKI WA AJABU AZUA GUMZO BONGO – VIDEO

SAMAKI mkubwa na wa ajabu ameibuka na kuzua gumzo nchini huku akiwaacha wananchi midomo wazi kutokana na ukubwa wa umbo...

READ MORE

Samaki Wawekewa Macho Bandia Kuonyesha Wako ‘Fresh’

Jicho la bandia likiwa limewekwa kwenye samaki. DUKA moja la samaki nchini Kuwait limeguduliwa kuwawekea samaki macho ya bandia, yaliyotengeezwa...

READ MORE

WAFAHAMU VIUMBE WATATU WA KUTISHA WA BAHARINI

PAMOJA na kuwepo viumbe vikubwa na vya kutisha baharini leo hii, mnamo zama za kale palikuwa na viumbe wakubwa zaidi...

READ MORE

MMILIKI MGAHAWA WA BUNGE ADAKWA NA SAMAKI HARAMU

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi, imekamata samaki aina ya sato (wasiofikia kiwango cha kuvuliwa) kiasi cha kilo mbili kati ya...

READ MORE

Samaki wa Kukaanga na Ndizi Mzuzu

LEO tunaa-ngalia jinsi ya kupika ndizi mzuzu za kukaanga na samaki. Maandalizi: -Samaki sato vipande utakavyo. -Ndizi mzuzu zikatekate. -Mafuta...

READ MORE

Samaki wa Maajabu Azua Taharuki Mbezi Beach, Dar -(Video)

MAAJABU! Samaki mkubwa aina ya Chongoe ambaye ni jamii ya nyangumi, hivi karibuni alionekana kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi,...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (20)

  ILIPOISHIA JANA… “Karibu mpaka ndani bwana mdogo,” mzee alinikaribisha. Nami nikajimwaga katika kiti kimoja cha mbao, huku nikiliacha jicho...

READ MORE

Supu ya Kichwa cha Samaki

LEO tutaongelea jinsi ya kupika supu ya kichwa cha samaki, inaweza kuwa aina yoyote ile ya samaki. Kuna wasiopenda kichwa...

READ MORE

Chakula cha Kuzuia Kuzeeka Haraka

Na Nwandishi Wetu | Uwazi| YOU ARE WHAT YOU EAT ILI kudumisha muonekano wa ujana kwa mwili wako unahitaji kuupa...

READ MORE